Google PlusRSS FeedEmail

ALICHOKISEMA QUEEN DARLEEN KUHUSU SIKU YAKE YA KUZALIWA

                                      
Siku ya leo msanii Queen Darleen anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, tumebahatika kufanya nae mahojiano na tumemuuliza ni vitu gani hua
anafanya siku kama ya leo na Queen alisema ” Siku kama ya leo inapofika saa 6 (Usiku) kama mwili wangu haupo msafi basi natia udhu kisha naanza sala na kumuomba mwenyezi Mungu kwa sababu kuna kuugua na pia kuna kufakwa najaribu kumuomba mwenyezi Mungu anisaidie uhai mrefu”
Alipoulizwa kuhusu kama atafanya sherehe, Queen Darleen alisema ” Sijawahi kufanya sherehe

mimi kama mimi lakini leo marafiki zangu wakina Mwasiti, Almasi, K Star Diamond kina shilole wote wameamua kunifanyia kitu hapa nyumbani kwangu kuanzia saa 2 usiku, mi sijui ni kitu gani watanifanyia. Kwa hiyo suprise lakini nimesema sitaki zawadi ya gari, nimeshampa warning kabisa Diamond”

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging